Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
kwenye miradi mikubwa kama manunuzi ya ndege kuna rushwa, nilisumbuliwa kuona vocha ya manunuzi ya ndege kwa kuambiwa iko ikulu, mpaka nilipoeleza kwamba baada ya siku saba ilo suala nitaeleza umma ndipo nikaonyeshwa, lakini report niliandika haikufanyiwa kazi - Prof Assad https://t.co/2YZOIJF0Hx