Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Kujua ukweli wa manunu ya ndege ilibidi nipambane sana, mpaka nilipoeleza kwamba baada siku 7 nitaongea na umma, ndipo nikaonyesha, nikaandika ropoti na barua, lakini vyote hazikufanyiwa kazi,..Afrika kuna rushwa sana kwenye manunuzi na miradi mkakati - Prof Assad #ChangeTanzania https://t.co/WTkBD86Ovz