Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
Rais wa Tanzania, Mhe. @SuluhuSamia leo Aprili 11, 2021 ameondoka nchini kwenda Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja, ambapo atazungumza na mwenyeji wake Rais @KagutaMuseveni na atashuhudia utiaji saini mkataba kati ya Serikali ya Uganda na kampuni ya mafuta ya EACOP. https://t.co/YHp8eRfwyj