Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Nyumba za shirika la reli gerezani kariakoo, ziliuzwa kwa sh 6m kwa nyumba, baada ya miezi 3 mradi wa mwendokasi ukaja zikanunuliwa kwa sh 260m kila nyumba, lakini ukiuulizwa utasema ni maamuzi ya baraza la mawaziri, lakini ni hao hao ndio wamiliki - Prof Assad #ChangeTanzania https://t.co/45gdQ9BeD3