Analyse @millardayo's tweets
@millardayo
| 2,591,736 followers
Rais Samia Suluhu tayari amewasili Uganda kwa ziara ya kikazi ya Siku moja, kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais wa Uganda, Yoweri Museveni @KagutaMuseveni ameandika ———>”ungana nami kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, @SuluhuSamia akiwasili nchini Uganda leo” https://t.co/lkIKBY9yLa