Analyse @ChangeTanzania's tweets
@ChangeTanzania
| 316,193 followers
Serikali ina watumishi ambao ni wazuri sana kwenye kuandika lakini inapokuwa kwenye uwezo wa kazi ni dhaifu kabisa, lazima tubadilishe mfumo tunaopata watumishi wa umma, kwa sasa 60% hawana uwezo kwenye nafasi zao. wanauwezo mkubwa kwenye paper tu - Prof Assad #ChangeTanzania https://t.co/AQafz2N3FA