Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @SuluhuSamia akiwa katika mazungumzo na C.E.O wa Kampuni ya TOTAL, Patrick Pouyanne katika IKULU ya Uganda leo. Mhe. Rais Samia yupo Uganda kwa ziara ya siku moja kwa mualiko wa Rais wa Uganda, @KagutaMuseveni. https://t.co/lLqQraZHal