Analyse @ChademaTz's tweets
@ChademaTz
| 743,448 followers
Ni kipindi ambacho kimkakati, tulilishwa propaganda za kutukuza mtu na tukazibomoa taasisi zetu na kuzigeuza kuwa wakala wa kumpamba Rais.Bila aibu, baadhi ya viongozi waandamizi wakafika hatua ya kumlinganisha Rais
Magufuli na Mungu!! Laana hii, isingeweza kuliacha Taifa salama! https://t.co/zyLE0DpcS2
Magufuli na Mungu!! Laana hii, isingeweza kuliacha Taifa salama! https://t.co/zyLE0DpcS2