Analyse @ChademaTz's tweets
@ChademaTz
| 743,448 followers
"Hayati Magufuli atakumbukwa kwa mengi. Mabaya na mazuri. Katika mukhtadha wa Utawala na Uongozi wa nchi, nayajua mambo mawili tu ambayo nadiriki kusema pasipo shaka ni mambo mawili mazuri tunayoweza kumkumbuka kwayo. https://t.co/DI3nvpzqeS