Analyse @ChademaTz's tweets
@ChademaTz
| 743,448 followers
"Utawala au Serikali ni mhimili mkuu wenye wajibu wa kuwezesha kirasilimali mihimili mingine. Mihimili yote yapaswa kujitegemea katika utendaji wake. Yote huongozwa na Katiba, Sheria na kanuni. Mhimili huu ukiyumba ni hatari ya haraka na ya moja kwa moja kwa Taifa." Mhe. Mbowe https://t.co/TBIIAgtO0s