Analyse @ChademaTz's tweets
@ChademaTz
| 743,448 followers
"Alitumia Taasisi kadhaa za Umma ikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, Jeshi la Polisi, nk kuthibiti uhuru wa kufanya siasa kidemokrasia, ikiwemo kuzuia haki ya Kikatiba kufanya mikutano ya hadhara na vyama kujijenga." Mhe. Mbowe https://t.co/0ARHggKAUf