Analyse @ChademaTz's tweets
@ChademaTz
| 743,448 followers
Bila hofu, Serikali ya awamu ya tano, imepora uchaguzi wa Serikali zote za Mitaa nchi nzima na mwaka jana uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani! Tunaongozwa na ambao hatukuwachagua! Wanaepuka vipi lawama!! Lazima sasa tuseme KAMWE NA KAMWE TENA! Yes, NEVER AND NEVER AGAIN!! https://t.co/Xo1JiDVRGn