Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
Bodi ya Ligi Kuu nchini Hispania imesema kuwa itahakikisha inapinga vikali ligi michuano mipya ya #SuperLeague na kutokufanikiwa kuanza kwani itaua pato la nchi pamoja na kuua soka barani Ulaya. Laliga inachangia 1.4% ya pato la nchi ya Hispania. https://t.co/tSUKOYi5Dv