Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
Benki ya Kimarekani ya JP Morgan itatoa £3.5 bn ( Tsh Trilion 11.9) kuwezesha #SuperLeague, Bingwa atapata £400m wakati bingwa wa ligi ya mabingwa anapata £120m. Kila msimu klabu itapewa £488m kama kiingilio. Mdhamini wa matangazo ya TV atalipa £10bn (Tsh Trilion 34). https://t.co/3XgDO7kHCi