@lifeofmshaba | 166,277 followers
“Katika Sheria ya ugaidi asilimi 99 , wanaomizwa na sheria hiyo wamekuwa ni Waislamu na hakuna kesi hata moja iliyowahi kuwasilishwa ushahidi wake, kusikilizwa na kutolewa hukumu”. - Sheikh Ponda Issa Ponda #FreeUamsho #ChangeTanzania

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 3 replies and 1 quotes found
Mi naomba niseme ni 99.9% wanaoumizwa ni Waislamu. Hii ni FACT!
Nashukuru Sheikh Ponda kasema what needed to be said!
Tunahitaji sheria ya Ugaidi ipitiwe na pia utekelezaji wake uwe wa HAKI na UNPREJUDICED
#FreeUamsho #ChangeTanzania
 
In reply to @lifeofmshaba
Ndugu zangu nawasihi mijadala ya kidini acheni kabisa,dini zenyew tuliletewa tu kutoka ng'ambo.utakuta hapo mnaobishana Ni ukoo mmoja lakini mmeshatenganishwa na dini...Yani ningekua Rais nisingeruhusu dini au kabila vionekane kweny kitambulisho chochote Cha mTanzania.
 
In reply to @lifeofmshaba
Kama kweli wajitathimini.........mienendo yao
 
 

Retweeters

24 retweeters not shown
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.