@Nipashetz | 102,433 followers
#HABARI MBUNGE wa Ilala Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.

Tweet Engagement Stats

Stats are based upon replies and quotes of this tweet

Engagement Map

Quotes
Replies
Retweets
Trendsmap

Replies and Quotes

Total of 202 replies and 84 quotes found
Kwanini kusiwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye posho za wabunge kama chanzo kipya cha mapato kwa serikali
 
How can tax communication? Kuna nafuu gani hapo kuongeza gharama kwenye mawasiliano ?

— Kabla ya kuweka mikodi kwenye mawasiliano tuanze na cut on transport spend kwa public officials kuna pesa nyingi tunachoma kwa vehicle maintenance and fuels tupunguze matumizi pia
 
 
Mkiona serikali na chama tawala inakuja na mapendekezo ya TOZO za hovyo ujue wamefulia!
Huyu mbunge aanze kudai MAPATO HALISI ya TRA maana tokea 2019 hakuna data imewekwa mitandaoni!
Wanapoficha data ujue wanaficha UFISADI!
Not a shiling more kwa serikali hii #TutaelewanaTu
 
In reply to @Nipashetz
Mnatafuta Ulaji ?? Mkatwe posho zenu za Bunge
 
 
In reply to @Nipashetz
Umekaa kwa starehe zote. Afu unawaza ushuzi..
 
 
Daah Jamaa Amekunja Nne Kabisa Yaani🤣🤣
 
Kheeee!!!!😳. Hebu nikae kimya nisije nikamfungulia huyu mzee
 
In reply to @Nipashetz
Uzalendo gani? Kujiongrzea posho kila siku na kuziwekea vikwazo zisikatwe kodi? Tutokee huko. Tumia akili vyanzo vyakodi viko vingi. Kila siku soda, bia, sigara na simu tu. Hebu tuwe serious tuache corruption kwenye upatikanaji wa viongozi. Hawa watu ni aibu kwa Taifa
 
Madhara ya kula pipi za ivory
 
Wabunge wakianza kulipa PAYE tunapata zaidi ya hii pesa anayoiwaza jamaa
 
In reply to @Nipashetz
😂😂😂kodi ya uzalendo ndo kodi gani?
 
In reply to @Nipashetz
Daah kwa vile mnatuita wanyonge ndo mnatukamua na mikodi lukuki
 
In reply to @Nipashetz
Mnalipwa too much unnecessarily ni vema Serikali ikaanza punguza kwanza matumizi kwa majitu ynayoshinda yakiDEMKA badala ya kufanya mambo ya maana kwanza then tuje kwenye mawasilino
 
In reply to @Nipashetz
Ili wale posho vizuri. Watafute vyanzo vingine siyo kutubebesha mizigo wananchi kila mara. Huku ni kukosa Maarifa kabisa.
 
Wazalendo (sio ACT) nadhani mmemsikia Mheshimiwa Mbunge!
 
Huyu amewaza nini kusema hivi?
Kwa nini asiseme wabunge wapunguziwe mshahara kutoka million 11.8 angalau walipwe million 5? @Deoxz @athanas_pius
 
In reply to @Nipashetz
We have been robbed our actual representatives God kill them all
 
 
In reply to @Nipashetz
Alieshiba hamjui mwenye njaa kwakweli.
 
In reply to @Nipashetz
Kodi zenyewe mnatumia wenyewe huko uyu mzee kawaje uyu
 
I can see "mwendazake" syndrone still revolve around
 
In reply to @Nipashetz
Hizii akili hizii duuu.
 
In reply to @Nipashetz
Kwanini msianze kujipunguzia mishahara na utitiri wa posho nyie bungeni?
 
Alimpa kura huyu ni nani....🥵🥵🥵
 
Huna akili mkubwa 🚮
 
In reply to @Nipashetz
Shwaini kabisa, amevimbiwa huko anaropoka ropoka tu
 
In reply to @Nipashetz
Kwahiyo Mmepunguza bei kwenye vifurushi unataka uichomeke kwingine sio.... Ila kuna watu bana!!!
 
When you thought you've seen it all🙌🏾
Suala la bei za vifurushi hata halijaisha mnataka kuendelea kumslubu mtanzania huyu huyu eti kwa kisingizio cha uzalendo.
 
 
Kuna watu hawana simu watalipaje sasa?🤷🏾‍♂️ Mimi napendekeza mgambo wapite mtaa kwa mtaa kukusanya hiyo kodi ya uzalendo
 
Hiyo kodi iwe kwa wakati wa jiji la Ilala, manake sehemu nyingine tunalipa kodi kwa vyanzo vingine
 
In reply to @Nipashetz
Halafu mnasema vijana hawana nguvu za kiume
 
In reply to @Nipashetz
kwani wabunge wameshindwa kufikiria nje ya boksi na kubuni vyanzo vya mapato.?? mtu akilala akiamka akikojoa ni anawaza mitandao ya simu hivi ccm mnashida gani mbona mnalikwamisha taifa ivo.??
 
In reply to @Nipashetz
Mwambie Aache ujinga sio kazi tuliyomtuma
 
In reply to @Nipashetz
 
 
In reply to @Nipashetz
Wabunge nao wapunguzwe mishahara mpaka 1.5m alafu poaho wapewe elfu 50 na wakatwe kodi kibao make hawana kazi wanayofanya kazi kudemka tu kama madem pumbaaaaav
 
In reply to @Nipashetz
Alafu huyu ndio mataga mwenye akili
 
😂 Hawa itakua wanapenda tu kutrend.
 
In reply to @Nipashetz
Takataka 🚮🚮kabisa hii
 
In reply to @Nipashetz
Kwa mfano kama mimi sio mzalendo ninakatwa kodi ya nini
 
Alipe Yeye Na Watu Wake Wa Ilala
 
Si mpaka mtu akubali kuwa mzalendo...
 
 
In reply to @Nipashetz
Anakatwa na wachawi huyu
 
Kwani vijana wamewakosea nini wabunge wetu?
 
 
 
In reply to @Nipashetz
Kwani wanyonge wenyewe wanasemaje?
 
Mngekatwa kwenye Posho Sitting Allowance ingependeza Zaidi Wabunge
 
In reply to @Nipashetz
Huyu mzee sawa na CWY
 
In reply to @Nipashetz
Hadi sasa CAG kaonesha kodi zetu kuna shaka katika matumizi yake, tuongeze tena na hii huo uzalendo mbaki nao nyie tu wakuu🚮🚮
 
In reply to @Nipashetz
SIWEZII KUMLAUMUU WENDAA NDIO UWEZOO ULIPO ISHIA COZ WE TANZANIA TUNA VYANZOO VINGII SANAA VYA KUPATA INCOME NAWAZAA KUNA TATIZO KUBWAA SANAAA LA USIMAMIZII WA RASILIMALI ZETUU RUDINI WABUNGE MKAE CHINI MTOE USHAURI MFIKIRIEE TUNAKWAMAA WAPI ILII SIEE WANANCHI TUSILPWE
 
Hapo Ni jina limebadilishwa tu, hakuna tofauti na kitu kilichokuwa kinaitwa Kodi ya kichwa.

CCM Ni Ile Ile.
 
Kodi ya uzalendo??????
 
 
In reply to @Nipashetz
Hawa wabunge wa CCM wakapimwe
 
In reply to @Nipashetz
Natamani Kusema Kitu Nafsi Inanambia "kaa kimya we umbwa una mwanasheria?😁😁😁
 
In reply to @Nipashetz
Na hivi kodi zetu zinavyo Lisa hovyo
 
In reply to @Nipashetz
huyu mapala hana akili
 
Tutoe kodi ya uzalendo alafu allocation yake 80% matumizi ya kawaida ya wizara na 20% maendeleo. Hebu tuacheni kidogo. 😆😂😂😂
 
 
In reply to @Nipashetz
Wakatwe wazalendo sisi tusio wazalendo tuachwe
 
Wanaoshinda mtandaoni hii habari watainanga sana.
 
In reply to @Nipashetz
Tusio wazalendo hatukatwi sio?
 
In reply to @Nipashetz
Mmmh Huyu nae wananchi wake walimpa kura kabisaa
 
 
 
 
hawa wazee wana ushenzi mwngi muda mwngine wanapenda kutukanwa tu
 
.😂😂😂😂😂😂😂😂😂,hasira zangu zimeisha..kwa hyo??😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
 
Nadhani ingeanza kodi ya ushindi wa kishindo kama malipo kwa wananchi mliowaibia kura
 
In reply to @Nipashetz
Kwani kodi ya uzalendo yenyewe ina lipi lakusema?
 
Mzee wetu anaanza kuzeeka sasa naona....🤦🏾‍♂️
 
Wawezaje kuchota maji kwa kapu hata ujaze mtungi?
 
Mbunge akiwasilisha shida za wananchi wake....... Kwa wale wasiokuwa wazalendo wao itakuwaje ?!
 
In reply to @Nipashetz
Pia wapunguziwe mishara wabunge .Nimeongezea kutoka Siambe Gwajima
 
In reply to @Nipashetz
Kwanza hawa wabunge inatakiwa wapunguziwe mishahara , posho za vikao zipunguzwe na kodi watozwe.
 
In reply to @Nipashetz
Kwani wenyewe wakazi wa ilala wanasemaje😁
 
In reply to @Nipashetz
Ujinga ni mzigo mkubwa sana. Mbunge kama huyu unategemea aongee jambo la maaana ila anaongea matope😠😠😠😠. Hawa ndio mama yetu alikuwa anawasema juzi wanaendesha mijadala isiyokuwa na afya bungeni
 
Basi jamaa anaona kafikiria kitu konki yani😁😁! Faken
 
Wakatwe wazalendo tu, wengine tuachwe tulivyo
 
In reply to @Nipashetz
Apendekeze kodi kwenye mishahara ya wabunge,posho zao na marupurupu ili kupunguza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kawaida
 
In reply to @Nipashetz
Upumbavu kabisa yaaani vifurushi vya @Tigo_TZ na @VodacomTanzania hadi leo havijashuka alafu unatuambia tutoe kodi huyu mbwa kabisa
 
In reply to @Nipashetz
Kwa maan hiyo ambao hawatumii simu watakuwa sio wazalendo maana wao hii kodi haitawahusu. 🤷‍♂️
 
In reply to @Nipashetz
That's Politics.....!! Don't trust politician ever..🤫🤫 pic.twitter.com/pC6XldWIfI
 
In reply to @Nipashetz
watanzania anaotaka walipe kodi ya uzalendo hafanani nao hata kidogo,wachange wao
 
In reply to @Nipashetz
Mzee baba kuna hela ya uzalendo huku
 
In reply to @Nipashetz
Wakate mshAhAra wake km raha
 
In reply to @Nipashetz
Maisha yanaenda kasi sana kiasi kwamba tunasahau walio nyuma
 
Mm nilijua anashahuri bunge livunjwe kwasababu limepatikana pasipo kwa halali
 
Over 192 replies and quotes not shown

Retweeters

Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more

This account is already logged in to Trendsmap.
Your subscription allows access for one user. If you require access for more users, you can create additional subscriptions.
Please Contact us if you are interested in discussing discounts for 3+ users for your organisation, or have any other queries.