Analyse @Nipashetz's tweets
@Nipashetz
| 204,262 followers
#MICHEZO Klabu ya @yangasc1935 imemtambulisha Kocha wake mpya, Nasreddine Nabi aliyesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu. Nabi ni raia wa Tunisia na timu yake ya mwisho kufundisha ilikuwa ni Al-Merrikh ya Sudan.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheMichezo https://t.co/8RGxnBp9ur
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheMichezo https://t.co/8RGxnBp9ur