Analyse @millardayo's tweets
@millardayo
| 2,591,736 followers
Wahitimu zaidi ya 120 wa Certificate, Diploma na Degree ya Uongozi kutoka Chuo Kikuu cha Aalto cha nchini Finland kwa ushirikiano na Taasisi ya Uongozi, wamekabidhiwa vyeti vyao leo na Waziri Ndalichako wakati wa Sherehe za Mahafali DSM, Makonda amehitimu Postgraduate Diploma. https://t.co/XRNyfGoITB