Analyse @bavicha_taifa's tweets
@bavicha_taifa
| 140,967 followers
"Miezi 5 imepita @TumeUchaguziTZ haijajibu barua niliyowaandikia kutaka watuambie ni nani aliyewasilisha orodha ya majina NEC, ni nani aliyesaini sehemu ya Katibu Mkuu kwenye fomu na. 8D za #Wasaliti19 waliofukuzwa @ChademaTz na kutoa nakala ya nyaraka tajwa." Mhe. @jjmnyika https://t.co/jO6yX5iXTh