Analyse @eastafricatv's tweets
@eastafricatv
| 1,642,699 followers
"Kwa vyama vyovyote vyenye kufukuza wabunge wao, wanapomuandikia barua Spika ni busara pia kumnakilia Msajili wa Vyama vya Siasa na barua hiyo iambatane na katiba yao na mihtasari ya vikao vilivyohusika kuwafukuza wabunge hao hii itanirahisishia kutenda haki"- Spika
#Bungeni https://t.co/j00dBEEO0a
#Bungeni https://t.co/j00dBEEO0a