Analyse @eastafricatv's tweets
@eastafricatv
| 1,642,699 followers
"Tuna tatizo la maji kwenye vijiji vya Ntuntu, Taru, Mboho, Mahambe, Manjaru, Tumaini, Matongo, Choda, Mh. Spika haya maeneo yote watu wanashiriki kunywa maji pamoja na mifugo hii ni hatari sana hata kwenye afya zao"- Miraji Mtaturu
#Bungeni
#BajetiWizaraYaMaji https://t.co/V8BAjhgZk0
#Bungeni
#BajetiWizaraYaMaji https://t.co/V8BAjhgZk0