Analyse @eastafricatv's tweets
@eastafricatv
| 1,642,699 followers
#PICHA Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam wakiwa tayari ndani ya ukumbi Mlimani City wakimsubiri Rais wa Tanzania @SuluhuSamia ambaye atazungumza nao. Kila mtu ukumbini amevaa Barakoa ikiwa ni maelekezo ya wataalam wa Afya ili kuwalinda wazee hao. https://t.co/ZFlV8elWYa