Analyse @Kimbouemboue's tweets
@Kimbouemboue
| 1,296 followers
@AyTanzania Katika ngoma ulizotulia mzee wa Zigo, hii ngoma ulitumia akili sana. Mashairi yake yataishi milele na milele. Amin! Komando kwenye chorus aliua kabisa.
Swali moja, hivi ni nani uwa anapendekeza mfanii flani asimame kwenye chorus? I wanna know that please!
Swali moja, hivi ni nani uwa anapendekeza mfanii flani asimame kwenye chorus? I wanna know that please!