Analyse @bunge_tz's tweets
@bunge_tz
| 538,058 followers
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai alipokutana na kufanya mazungumzo na viongozi kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakiongozwa na Rais wa Chama hicho, Dkt. Edward Hosea ofisini kwake Jijini Dodoma, lengo likiwa ni kumsalimia na kutambulisha uongozi wao mpya https://t.co/sMlhn3twkk