Analyse @malcomali255's tweets
@malcomali255
| 755 followers
Kweli akufaae kwa dhiki mara nyingine ni msaliti
Alishatembea na mkeo kwa gia ya urafiki
Shoga yako kwako habanduki mmeo akakutaliki
Unajuta ye anacheka kwani ndoa keshaivuruga
Mmeo ametimua ye keshatawala nyumba
Baba na nyumba ndogo watoto wanalia mateso https://t.co/8AZqVrXOqJ