Analyse @NectoKitiga's tweets
@NectoKitiga
| 40,199 followers
Usiku huu @tanpol wilaya Karatu wamevamia ofisi ya Chadema na kuamuru kusitishwa kwa maandalizi ya kikao cha ndani kinachotarajiwa kufanyika kesho Mei 08, 2021 na mgeni rasmi akiwa @John_Pambalu Mwenyekiti wa @bavicha_taifa.
Tunaendelea kufuatia, tutawajuza kinachoendelea. https://t.co/RQ7RvlLsyw
Tunaendelea kufuatia, tutawajuza kinachoendelea. https://t.co/RQ7RvlLsyw