Analyse @TOTTechs's tweets
@TOTTechs
| 40,753 followers
TWITTER SPACES [ UZI ]
Tunapoongelea Twitter Spaces (Kwa kifupi Spaces), tunaongelea mazungumzo ya mtandaoni ya moja kwa moja ambayo hutumia sauti tu bila video wala maandishi.
Wahusika katika spaces wanaweza kuwa wasikilizaji au wazungumzaji.
#ElimikaWikiendi https://t.co/CpVJD7hN2B