Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Ingawa wanaume wanaweza kushiriki tendo la ndoa hadi uzeeni ila nguvu za kiume hupungua kulingana na umri unavyoongezeka, wanaume wanaweza kuchelewa kusimamisha, kuwahi kufikia mshindo na shahawa kutoka kwa uchache au kasi ndogo sana. #ElimikaWikiendi https://t.co/qVuFdKYi7o