Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Chochote kinachopunguza kasi ya damu kufika kwenye uume kinaweza kusababishavupungufu wa nguvu za kiume. Hali zinazosababisha tatizo hili mara kwa mara ni pamoja na uvutaji sigara, kisukari, kupanda kwa shinikizo la damu, kitambi na uzee. #ElimikaWikiendi https://t.co/S6o0YgmI0e