Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Wasiwasi wa kupiga show kikamilifu (performance anxiety) huweza kusababisha kushindwa kusimamisha uume vizuri wakati wa tendo la ndoa na kufanya mwanaume aonekane hana nguvu za kiume. #ElimikaWikiendi https://t.co/dq5Kz4oFYH