Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Ili kubaini matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume, wataalamu wa afya huchukua maelezo vizuri, kumchunguza mwili mhusika na kufanya vipimo vya damu kuangalia hali kama kisukari, homoni za kiume (testosterone) n.k #ElimikaWikiendi https://t.co/59X30WEPf1