Analyse @BabaAlexa's tweets
@BabaAlexa
| 53,132 followers
Programu hii ilitolewa kwa mara ya kwanza Mwezi March 2020 kwa watumiani wa vifaa vya Apple pekee (mfumo wa iOS), ikianza kwa mialiko pekee...ambapo mtu aliyeko ana nafasi ya kualika mwingine kwa kutumia namba ya simu (au kutoka kwenye Orodha ya “Contacts” zako) #ElimikaWikiendi https://t.co/drKBzjEfCA