Analyse @BabaAlexa's tweets
@BabaAlexa
| 53,132 followers
Mfumo wa Clubhouse hutumia utaratibu wa Vyumba “ROOMS” kukusanya watu wenye nia ya kuongea pamoja, na mtu anaweza kushiriki kwenye mazungumzo katika chumba kimoja kwa wakati mmoja #ElimikaWikiendi https://t.co/Ya6R1KHnec