Analyse @Elisalinah31's tweets
@Elisalinah31
| 51,761 followers
Mohammed Nasreddine kocha mkuu wa Yanga. Hii ni Derby yake ya kwanza na mechi kubwa tangu ajiunge na Yanga ukiacha mechi yake na Azam ambayo alipoteza kwa goli moja. Nampa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii endapo tu ataweza kucheza na akili za viungo wa Simba. #ElimikaWikiendi https://t.co/ixH8XUvdPv