Analyse @Elisalinah31's tweets
@Elisalinah31
| 51,761 followers
Ubora binafsi wa viungo wa Simba kuanzia viungo wakabaji mpaka viungo washambuliaji ndio utakaoenda kuamua ubora wa mechi hii kwa upande wa Simba. Ni ukweli mchungu kwamba viungo wa juu wa Simba wote wana maamuzi ya haraka kuelekea kwenye lango la mpinzani. #ElimikaWikiendi https://t.co/y8LvBEi79x