Analyse @Twaha_Mwaipaya's tweets
@Twaha_Mwaipaya
| 276,925 followers
Huyu ni Simoni Mwacha aliekatwa Mkono wake na Genge la Ole Sabaya Kwa Panga, , mpaka Sasa ni mwezi wa 9 mkono haujapona, Jimbo la Hai linanuka Damu za utesi na ujambazi wa Mali za umma Sabaya anatakiwa kua Jela sio Ofisini, @CloudsMediaLive waombeni Radhi WATANZANIA. https://t.co/wOTLTJYOaC