Analyse @Nipashetz's tweets
@Nipashetz
| 204,262 followers
#HABARI Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (@dawasatz) Mkoa wa kihuduma Magomeni, imeendesha operesheni ya kubaini wezi wa maji eneo la Mabibo Bandari na kuwabaini wakulima wa bustani za mbogamboga eneo hilo wakiiba maji ya mamlaka kumwagilia bustani zao. https://t.co/hi6g5xVmcP