Analyse @IAMartin_'s tweets
@IAMartin_
| 473,450 followers
SIMON SIMALENGA ni afisa uhusiano wa @CloudsMediaLive. Mwaka 2020 aligombea kura za maoni ubunge CCM jimbo la Kawe (alipata kura 2). Mwaka 2010 alikuwa Namtumbo katika kampeni za CCM. Hawa makada wameifanya CLOUDS kuwa ngome ya kuchafua Chadema na kusafisha watawala kutoka CCM. https://t.co/MLkccgEZOJ