Analyse @IAMartin_'s tweets
@IAMartin_
| 473,450 followers
Chapo, nakuheshimu sana. @CloudsMediaLive wanatumika kutuumiza, usishiriki uongo, CMG hawajawahi kufungiwa kwa sababu ya @TunduALissu. Siku ya mapokezi hata network ilikuwa shida. YouTube channel ya 'ChademaMedia' wakaidukua. Tulikosa coverage, tukatumia akaunti zetu binafsi. https://t.co/4cActWek3l