Analyse @IAMartin_'s tweets
@IAMartin_
| 473,450 followers
Rais Samia anakiri TAKUKURU wamefuta kesi 147 za kubambikiza raia wasiokuwa na hatia. Ni wangapi wamebambikiwa kesi na wamefungwa gerezani au wamelipa faini? Tumesema, mifumo ya utoaji haki imefinyangwa sana. Kwanini hao waliobambikizia raia kesi wasichukuliwe hatua za kisheria?