Analyse @VodacomTanzania's tweets
@VodacomTanzania
| 357,724 followers
Usipitwe na shoo yetu itakayoruka usiku wa leo kupitia ITV saa 3 na nusu usiku, Wasafi TV saa 2 kamili usiku, na Clouds TV saa 12 na dakika 50 jioni. Usikae mbali na runinga yako kwani Salama (@EceJay ) na Idris (@IdrisSultan) watakuhabarisha yote. #twendemjininampesa https://t.co/BI1uFqyLRc