Analyse @FlavianaMatata's tweets
@FlavianaMatata
| 847,058 followers
Hatimae tumefanikiwa kuwasilisha pedi kwa wasichana wote 420 zilizotokana na campaign ya #LetTotalFuelYourCar kwa ushirika wa Total Tanzania na @FMFound Wasichana hawa kutoka mikoa na shule tajwa hapo chini wamepokea pedi za mwaka mzima. Tunawashukuru sana wote mlio shiriki. https://t.co/EfyVJRIzxD