Analyse @ntvkenya's tweets
Watu Watatu Wauawa Mandera:
Watu watatu wameuwawa mapema leo baada ya lori kuvamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa Alshabaab eneo la Jabibar, Mandera.
Magaidi hao pia walichoma lori katika tukio tofauti Mandera Kusini.
#NTVJioni @SalimSwaleh001 https://t.co/RVUIBTmZ2p