Analyse @kigogo2014's tweets
@kigogo2014
| 1,345,257 followers
@ortamisemitz na @ummymwalimu haya mambo hamuyaoni? Mnakazi ya kujibunua binua tu mnashindwa ku deal na matatizo very basic haya
CCM hii nchi mmeshindwa kuiendesha mmebaki kufanya uhuni uhuni tu ! Yaani nchi ina miaka 60 toka uhuru bado watoto wanakaa sakafuni?
Hovyo sana nyie https://t.co/FKwJqVt7Wr
CCM hii nchi mmeshindwa kuiendesha mmebaki kufanya uhuni uhuni tu ! Yaani nchi ina miaka 60 toka uhuru bado watoto wanakaa sakafuni?
Hovyo sana nyie https://t.co/FKwJqVt7Wr