Analyse @jaliluzaid's tweets
@jaliluzaid
| 134,177 followers
Haji Manara inabidi akubali kwa nafasi yake ameitumikia Simba kadri alivyoweza na wakati wake umeisha. Yawezekana kweli alifanyiwa figisu kama anavyosema, ni sawa.. kwenye kazi hutegemei kila kitu kwenda sawa siku zote au kukubaliwa na kila mtu. Busara ni kuangazia ukurasa mpya. https://t.co/N9t9jOqlwo