Analyse @ummymwalimu's tweets
@ummymwalimu
| 867,743 followers
Hii kweli inafadhaisha, Hizi tunaziita satellite schools ambazo vinajitokeza kutokana na kuhamahama kwa wakulima ama wafugaji. Huacha vijiji vyao na kuanzisha makazi mapya. After 3 years watoto wanakuwa na hivyo kuhitaji shule. Ndio wanaanzisha shule kama hizi ..... https://t.co/1QkUlcGkJw