Analyse @MustaphaBurhani's tweets
@MustaphaBurhani
| 9,212 followers
@ummymwalimu Halmashauri ya kilolo ina hiyo hali ya kuhamahama wakulima kweli Mh? najua hakuna wafugaji wa kusema kuna ufugaji kilolo... kuna shule hazina vyoo pia, mfano, hiki ni choo cha walimu shule msingi Idunda ipo kijiji cha Idunda hapo hapo Kilolo, Iangaliwe kwa jicho la 3 hii wilaya https://t.co/9y4ALD4Qp8