Analyse @ummymwalimu's tweets
@ummymwalimu
| 867,743 followers
Nidanganye kwa faida ya nani?Satellite schools zipo, na mara nyingi huanzishwa na wananchi wenyewe. Shule shikizi hii ipo kijiji cha IFUWA kitongoji cha Mayoka kata ya Udekwa. Wakazi ni wambulu waliohamia eneo hilo jamii ya wakulima na wafugaji. La muhimu ni kutatua hiichangamoto https://t.co/j3ePqpGovV