Analyse @Hakingowi's tweets
@Hakingowi
| 443,082 followers
Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, akimsikilza Dereva wa Basi la Sauli Namba T418 DWF litokalo Mbeya kuelekeai Dar es Salaam,akiomba msamaha baada ya kukamatwa na Waziri huyo kwa kosa la kuvunja sheria za usalama barabarani,leo Agosti 4,2021,Saa 2:17 Usiku,Kibaha,Pwani https://t.co/lEt7fL4oji