Analyse @IAMartin_'s tweets
@IAMartin_
| 473,450 followers
Wakili wa Serikali: Unakumbuka Jukumu la Kufungua kesi.?
Shahidi: Nakumbuka Afande Emmanuel na Afande Samuel
Wakili wa Serikali Ulikuwa na majukumu gani
Shahidi: ilikuwa saa 12 kasoro nilifika na kupangiwa majukumu na wengine
Wakili wa Serikali: Kitu gani ulifanya